@millardayo Kuna namna Trump anataka marekani ijithibitshe kuwa ndio msaada mkuu wa dunia nzima. Kuna namna tunapaswa kusubir umoja wa ulaya watasema nini juu ya Ukraine na Trump. Baada ya hapo tutaona wanachokitaka marekan Hawezekan marekani ahudhurie tu kwenye mkutano wa Berlin bila faida