May this Valentine's day bring passion and inspiration to your family and the one's you love. It has been a while since I met you and it's a bit late to recognise that you were so adorable and fond to fall ๐. Thank you sweetheart โค๏ธ
Shetani na mama mkwe wake wanalia.
Wahenga walisema akili ni nywele ila sio za kwenye kwapa๐๐
Ukitaka kuona watu wenye akili za nywele kwapani sikiliza speech zao in public... It's a shame guys ๐๐
Majira ya Mungu yakifika, hata kilichoonekana hakiwezi hutumika kwa makusudi yake.
Sisi ni watu wa imani, tunaoamini kuwa Mungu hubadilisha yasiyowezekana kuwa ushuhuda wa baraka zake. ๐
Usaliti ni usaliti. Hakuna cha mwanaume wala mwanamke, hakuna anayetakiwa kucheat. TUACHE UPUMBAVU WA KUSEMA NI NATURE YA WANAUME WOTE KUCHEAT. Ni suala la ego, tamaduni na past experiences ila hakuna asili inayomtengeneza mwanaume awe msaliti.๐
Mithali 27:
(Proverbs)
22. Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
---------------
Though you grind a fool in a mortar with a pestle along with crushed grain, Yet his foolishness will not depart from him.