#HipHopFamily unapenda Hip Hop/Rap music kusikiliza au unapenda kubishana mijadara inayohusu Emcee's ili ung'ae hukukwenye simu yako umejaza wapopo , congo & south music+mitikisiko ya pwani!🙂↔️👮🏿♂️
Work in progress….
It’s important to test out the pattern before assembling the upper. This gives you a sense of what the final outcome will be..
What do you think about this??
Ps: This upper is just about 50% done.
Marekani inapoteza madaktari 400 kila mwaka kwa kujiua. Safari ya udaktari na kazi yake ina stress sana. Madaktari wengi wanafundiswa kua perfect na kutoonyesha mapungufu Yao kwa watu wengine. Lakini madaktari hawa ni watu Kama watu wengine wana maumivu, hisia na matatizo Kama watu wengine lakini hawawezi kuomba msaada sababu jamii inaamini kwamba hawana shida yeyote.
Daktari usikae kimya kama una matatizo. Jaribu kuongea na washikaji wakusaidie.
Pumzika kwa Amani Dr. Magreth. May you finally find peace.
Success and wisdom go hand in hand. True success doesn't just mean achieving your goals, it means making the right choices along the way. Wisdom allows you to navigate the journey towards success with clarity and purpose.🫶🏼
Ni kweli wengi wetu tuna uoga ndiomaana hatu show up kwa ground kwenye hizi movements za kupigania haki!!
Lakini onyesha kuguswa, onyesha ile “concern” hata kwa ishara, hata kwa maandishi!!
Kuliko kucomment
“Safi wapigwe tu si walionywa wakawa wakaidi”
ni bora ucomment emoj tu ya “🥹”
Onyesha unaguswa na mtu anaye hubiri injili njema ya kesho yako!!
Unakebehi watu kupigwa ukiwa kituo cha mwendokasi unapambana unagombania kupata usafiri wa tabu, ili uende town kufanya kibarua cha shida na bado ukatwe kodi na tozo kubwa zinazoenda kuwapa maisha ya ufahari watawala!!
Anaekutetea katika hili anapigwa, wewe bado unakebehi!!
Onyesha kuwa hupendezwi na ukatili unaofanywa na watawala!!
Ukishindwa kaa kimya ni jibu pia, kuliko kudhihaki na kuvunja watu moyo.