Wiki iliyopita nilifanya Interview kampuni “x” na nikapata kazi.
Cha ajabu nikitaka kusaini mkataba moyo unagoma kabisa na badala yake nawaza kufungua biashara hata ya mtaji wa 5M nikomae nayo..
Mawazo tutani mnanishsur nifanye uamuzi upi??
Na kma ni biashara je ni ipi??
Ila Matapeli bhana leo kuna jamaa kanipigia simu mida ya mchana akajitambulisha kua yeye ni mjomba angu mkubwa alipobugi akaanza kuniuliza saivi si upo Arusha sijui Moshi wakati mm nipo sumbawanga now jamaa fala sana yule🚮😂
Aina za wachambuzi wa mpira;
1. Wachambuzi Tactical - hawa hua wanaujua mpira haswa,kuwaelewa lazima na wewe uujue mpira.
2. Wachambuzi wa Takwimu - wao ni goals & assists,possession,matokeo ya Home & away,cleansheets,yellow cards.
3. Wachambuzi wa Transfers.
Je Bongo tunao?
Hongera kwa Barka Sef kujiunga na Accademy ya Barcelona, La Masia. 🇹🇿👏
Wanangu, tuwasomeshe watoto wetu, lakini tukiona wana kipaji au ndoto ya kweli, tuwasaidie kuifikia. Elimu ni muhimu, ila vipaji navyo hubadilisha maisha. ❤️🙏