@anuskills3 Usijibu kana kwamba me naweza kumfikia nimesema tu kama kukutonya na nimekuliza maswali yangu mengine, je marioo ndo alikuface kukupa kazi au mtu kati?
@Rydx_017 Kaka uwezi kuweka Ads za kufika million 100 unazani uwekezaji wake ni wakitoto?? Wanachofanya waoo ni kuboost nyimbo kwa ads ili ifikishe atilist 10 Million uki combine na organic views, YouTube yenywe kweny sera zake hairusu kufikia idadi kubwa ya views wa ads kama izo 100M
@meeknego@Rydx_017 Wew mi kuma kumbe, unajua ata iyo line kamanisha nini au unazani kataja tu Mwezi sikiliza tena, taitoz unaweza ukaskiliza tena lakn usielewi kaama anisha nini kwa sabb kichwa chako kimejaa mavi.
Wadada si mnaona mwenzenu Paula kamzawadia mpenzi wake iPhone 18 na Hajapost, ila nyie mkitununulia boxer tu, kutwa Status na Snapchat, โMy gift for my manโ ๐ ๐
Marioo ndo Msanii namba 1 Tanzania Kwasasa ndiye anaamua game ya Bongo Fleva iende wapi. Mfano tu yeye ndo kaja na Amapiano, 3step kwa sasaiv kila msani anaimba miziki yake ile โUptempoโ
Kiufupi ndo mwenye script ya game ya bongo kwa Sasa.
Ukweli mchungu ila muupokee.
@frank_juli33238@ErickKamihanda Mbosso kaimgia kwenye game mwaka 2014, kaanza kua solo mwaka 2018 Marioo kaanza muziki 2019 nyimbi ya kwnza apo, kuusu local digital kaulize ni platform gan inangiza ela kuliko zote. Iyo youtube ata wew ukiwa na ela ao viws 1 Million unaoata chap kwa dakk