@chapo255@Wakazi Sema hii kitu nimetoka kuwambia mda sio mrefu uko IG kuwa kiba bila mondi ni lody music tuu na ili waligundue hilo apo kabla ya kauli ya mondi wakina chino hawakuonekan kama ma underground ten kiasi kwamba wakataka mlinganisha na kwevo but now kila mmoja amerudi kwenye nafasi zao
🚨🚨
Mohamed Zougrana🇨🇮, has already arrived in Algeria to undergo tests to join the MC Alger 🇩🇿.
The 21-year-old Zougrana is the recommendation of coach Patrice Beaumelle🇨🇵, who trained him in the Ivory Coast🇨🇮 national team in 2020-22.
@TzHalotel Ivi nyinyi @TzHalotel mnatuchukuliaje sisi wateja wenu mnapandisha mabando kama hela tunaokota mnapandisha bila taaarifa mtandao ushakuwa wakichoko
Mwanaume hauombi ombi hela ya kula, unaomba KAZI ama mchongo wa deal za hela. Ukikwama sana MWANAUME unaenda kuomba MKOPO kwa wenzako! Huyu ndiye mwanaume tunayetaka kumjenga hapa nchini. Mtanisamehe, I am this tough! 🤛🏾💪🏾. Hata mimi huwa napitia changamoto, lakini NAKOPA! 💪🏾
@TzHalotel na nyie hii tabia yenu ya kipumbavu mtu unajiunga 1GB ndani ya lisaa imekata mmeahatuchosha alafu mlivyo na mambo ya ajabu mtu akiangalia Salio lake kama mshafanya yenu haamtumiii anashangaa sms ya umemaliza kifurushi chako inaingia.... Yaaani katika matapeli nyie ni 1
@_Bepari_@IAMartin_@OleMtetezi Wakati wanaandaaa patition waliandalia bungeni au twitter tuliza spiker izo wewe unaetumia akili za kushikiwa na wanaharakati uchwara
@Q_acid341312 @kigogo2014 🤣🤣🤣🤣 ongeza ukubwa wa maandishi bana mi sibishanagi na mwenye bando la bure bana usikute unatumia Wi-Fi ya bure ya shemeji yako Kama inauma toa uende
@Q_acid341312 @kigogo2014 Sio kila mbwa ukimwona udhani ni wa ulinzi now wapo mbwa wa mapambo usikariri maisha kenge mmoja wewe karatasi karatasi karatasi ya nyokweeee
@kigogo2014 C mlikuwa bize kumsagia kunguni sadala wa watu mkaacha kuongelea vya muhimu vinavyoendelea bungeni Sasa now ndo tunajua Kati ya BET AU KODI YA MUUNGANAO KIOI BORA