@HecheJohn Tume iliyobeba majibu tangu inateuliwa nani ataiamini ,tume ambayo mjumbe ni waziri wa wizara inayochunguzwa nani ataipa ushirikiano.
Kama ushahidi mlishaukana na kusema ni AI watu walete nn tena?
@Sativa255 Kigaila hata katiba ya CHAUBWA haijui,Salimu ndio kwanza ameisoma akiwa hapo.Hicho Chama hutasikia msajili akihangaika nacho.Halafu mwisho wake February.
@Sativa255 ๐คฃ๐ ๐ ๐ ๐..Nimecheka,,.mzee kufumba na kufumbua tayari Kigaila ni Kaimu K mkuu๐Salumu ndio bosi wa K Kiga,.Lishangazi Devo ni Makamu dadeki.Kipara anaeza kugombea uraisi walahi๐
@TweveDevota Hivi inakuwaje mtu unashindwa maisha yako binafsi bila kuwa na cheo chochote..mbona sisi tunaishi vizuri tu na watoto wanasoma shule nzuri.
@EduTalkTz Uliwahi kukutana na mtu ambae mnafahamiana kidogo,halafu anakuambia hebu twende hivi,.yeye ana gari wewe huna,ana hela wewe huna.Kila atakapokata kona unahisi ndio mmefika,anakuwa na maamuzi yote kuhusu hiyo safari,mkipitia bar akiagiza soda na wewe unaagiza pepsi๐๐คฃ๐คฃ