EPIDEMIOLOJIA101 | HATUA 3 ZA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA
👉Simulation na data za magonjwa ya mlipuko zinaonyesha, ugonjwa wa Corona ukiingia katika nchi unaweza pitia hatua 3
Kuzijua hizi hatua ni muhimu sana katika kudhibiti maambukizi na kupunguza athari
MFUMO KINGA IMARA NI MUHIMU SANA.
🔵Hizi ni baadhi ya hatua unazoweza kufanya boresha kinga yako ya mwili :
1️⃣Hakikisha unapata usingizi wa kutosha
-Ukosefu wa usingizi Hufanya kinga ya mwili kuwa dhaifu
2️⃣Fanya Mazoezi.
3️⃣Jitahidi kupunguza mkazo wa mawazo na stress
@rahma_hassani@Barrielly1 Madingi ya zamani yalikula misosi ya asili yako full gado sisi sasa tukifika ivo ukicheza kidogo pressure inapanda unadondoka kukufa
#JiongezeTuwavusheSalama | ELIMU YA MSINGI KUHUSU MWANAMKE MWENYE KUNDI LA DAMU HASI (NEGATIVE) NA UJAUZITO
🔵 KUNDI LA DAMU HASI: Ni aina ya damu ambayo haina antijeni inayoitwa "Rhesus"