Wizara ya Mifugo na Uvuvi kamilisheni mchakato wa kulifufua shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), Itasaidia kuongeza upatikanaji wa Samaki, kuongeza ajira kwa vijana na kufufua viwanda vya kusindika samaki, tutauza ndani na nje @SuluhuSamia@MsigwaGerson@bunge_tz@NdakiMashimba