TAARIFA KWA UMMA.!
KESHO SAA 4 ASUBUHI NITATOA TAMKO KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI PAMOJA NA KUTOA KAULI YANGU ITAKAYOLENGA KUBADILI TASWIRA YA KISIASA NCHINI.
WANA HABARI WOTE MNAKARIBISHWA.!
#TajiriLaKihaya
Ukisikiza Full Press ya LEMA…
Bila kufuatilia vipande vipande vinavyokatwa kimaksudi ili Kufit in Agenda za mtandao…
Utagundua LEMA ni mwanasiasa makini saana!
Mkweli na muwazi…
Na ndio maana Lissu alimuamini na Kura zake …
Lema Ni Hazina Kubwa saana Pale Chadema…articulate,well composed and a Visionary Leader!
@Towntrip3@babixoxo_1@EsirEid watazungumza kwa maslahi yan nan? kwasababu mazungumzo ya CHADEMA na serikali ni suala la kuonesha kimataifa kwamba nchi iko sawa warudishe misaada ila sio kwamba ni kwa mlengo wa walioumizwa
Jana nilikuwa nimeagiza mzigo, nilivyokuja kufungua nikakuta nimezidishiwa mzigo wa laki tatu, bila iyana nikatoa taarifa kwa Tajiri akajibu hivi. Hii bahati ingekukuta wewe ungefanyaje?🤔😁