@nyuki_malkia 1 chaja
2 condom
3 chupi ya kuvaa asbh
4 mafuta yako ya kujipaka
5 mafuta ya nazi au ky
Nb: funga mlango vizuri kurudi haijulikani ni lini.
@HabarimpyaTv Mtu mwenyewe ukimuangalia ni matope zaidi hata ya elimu yenyewe anayoizungumzia, tatizo Tanzania watu wanasoma ili waisaidie inchi lakini mwisho wa siku wao wenyewe wanakuwa wajinga kushinda hata wale ambao hawajasoma.
@GuzmnChapo1 Bado sana vijana wa kitanzania kujitambua, acha waendelee kubishania yanga na simba.. anglia kenya hawana time na football ila wana chukua time kujitambua kwa maisha yao watoto wao na wajukuu zao.