Bro to bro,
Avoid Viagra !!
Combination of these natural foods:
Watermelon+Banana+Nuts+Cucumber, will make you perform like a man.
Blend all together and take a shot every morning and night (30 minutes before game time )
Help a bro!!..
Abū Bakr As-Siddiq رضي الله عنه alisema:
“Hakika Allaah husamehe dhambi kubwa, kwa hivyo usikate tamaa. Na hakika Allaah hutoa adhabu kwa dhambi ndogo, kwa hivyo usidanganyike.”
— Sharh Al-Bukhārī na Ibn Battaal, Juzuu ya 19, Uk. 267
Kama unauhakika umejiandaa vizuri na mtihani, na ulisoma, na unajua utafaulu, kwanini uogope na ukatae unapoambiwa mwalimu kutoka shule nyingine ndiyo atatunga mtihani na siyo yule uliyemzoea darasani?
Hii Tweet Haihusiani na Mtihani.
#TajiriLaKihaya
Heshima ya kuwa Mbunge imeshuka saana….
Bar imeshuka saaana… saa hizi Yeyote anaweza kuwa mbunge!
Bunge la kuanzia uchaguzi ujao…
Watakaokuwa na Degree,Masters hadi pHD- hawatafika wabunge 30.
Bunge litajaaa MACHAWA MNO!
Kila kitu NDIO💔💔💔
Nafikiri ndio litakuwa bunge la hovyo kuanzia Tupate UHURU!
HUU N UDINI WA WAZI
VAZI LA KANZU NA NDEVU HAIJAWAHI KUWA KUKOSA MAADILI
TAFADHALI HII TUME YA UTUMISHI WA WALIMU ICHUNGUZWE KUNA UDINI NDANI YAKE
@SuluhuSamia@KassimMajaliwa_@azamtvtz@millardayo