Habari ndugu zangu watanzania. Tuendelee kupiga kura katika tuzo za Zikomo Africa hadi tufikie 100%. Tuwakumbushe ndugu zetu waliompigia kura msaliti badala yake wampigie kura Savatir wakati huu. Zambia moja, Tanzania moja, sisi ni taifa moja. https://t.co/vStvsYvz1C
Mioyo yetu yamtumainia Mwenyezi MUNGU, yeye ni msaada wetu na Ngao yetu. Tuna matumaini kwake na tunaamini kwamba fadhili zake zitakaa nasi daima. Sisi tumeamua kuweka matumaini yetu yote kwa MUNGU mkuu asiyeshindwa na jambo lolote lile.