Nchi nzima tumesikia ripoti ya CAG. Ubadharifu,rushwa,wizi na matumizi mabaya ya ofisi na fedha ni wa kiwango kikubwa.Kelele zetu juu ya ubadhirifu huu ni ndogo sana,pia sauti ya Rais ktk ubadhirifu huu ni ya kawaida,ni kama tu kumgombeza mtoto anapopoteza mpira akiwa shule.