Forex ni fursa moja nzuri sana. Binafsi sijawahi tamani kushare mawazo yangu, pengine ni sababu ya woga ua kutohisi kuna mtu atajari. Follow account yangu @bambadush, kila siku naweka video zangu binafsi nnazo trade. Njoo ujifunze, acha kuchoma hela, njoo upate njia rahisi zaidi.
@IAMartin_ Kaka unachukizwa na mwanaume mwenzio kupenda dudu ๐คฃ๐คฃ. How does it affect you as a person mwanaume mwenzio kupata furaha ambayo yeye binafsi anaitaka? Binadamu bhana mnamatatizo sana, haya sasa anataka kufitwa wewe hutaki sasa unataka nini tena ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ, haya msaidie sasa wewe
@MarekaMalili As a man, nitoke na best half wangu alete friends wake. Nawaacha hapo, will pay for whatever they want give her some change and excuse myself
@mshambuliaji Once a @SimbaSCTanzania supporter you will always be one. Watu hawaelewi tu, @HajiManara Yanga kaajiliwa tu, tuite profesheni ya habari na udambwi wake mwingi wa kuamsha vijiji ndio umemuweka pale. Najua anampenda sana mama yake mzazi na hawezi kuihama club yake pendwa #UgaliMtam
@Abdul69005875@zittokabwe Njia ziliisha tolewa wakato wa kikwete na utatuzi ukaanza kwa kuwekeza kwenye umeme wa gesi asilia. Alipokuja sasa Kiongozi wetu sisi wanyonge akaamua kuturudisha kwenye maji. Hivi kwa hali hii ya hewa unazani viwango vya maji mitoni vitaendelea kuwa hivi hivi?
@vee__victoria @DaktariWaWatoto Wanawake nyie mnanini kitandani? ๐คฃ๐คฃ unataka Messi au Ronaldo afunge mazuri wakati pasi humpi ๐๐. Wanawake watu strange sana, hamna hamasa ndio shida kubwa
@GREATSEAL4@zittokabwe@bavicha_taifa Unahoji au unatakiwa uwende ukaone ni kwa kiwango gani imekatwa? Kwa taarifa tako, Mkoa wa Dar unaingia Mbeya zaidi ya mara 25
Hela haikufanyi uwefuraha ila hela inasense ya kuwa na furaha. Matatizo ya umasikini na matatizo ya tajiri ni makundi mawili tofauti. Hela inakufanya uwe na furaha sio inakupa furaha. Tofauti ndogo sana hapo.
Kijana #Forex ndio njia pekee ya wewe kwenda kwenye ndoto zako.