@ReganTesla_ Hapo jamaa alikuwa na zote fake ma original, wakati huyo dada anakuja kuhakiki akaoneshwa original.. halafu muuni akabadili chap zile fake ndio akampa dogo. So huyo dada hana kosa, ni yaleyale unaoneshwa simu kisha unauziwa kipande cha sabuni