@Savasec Ni kutokana na nadharia TU za zamani kwamba inaaminika Malaika walikua ni viumbe wazuri sana Tena wanan'gaa ajabu sasa hizo sifa zote huwaga wanapewa wanawake yani wanatafasiri Mwanamke ni kiumbe kizuri sana duniani.Sasa kwa wanaume ni tofauti hauwezi kumwambia mwanaume hivyo