@mangekimambi Kwanini watu waadhibiwe kwa virungu namna hii na wakiwa chini ya ulinzi bila silaha kabla hata ya kufikishwa mahakamani ambapo ndio sehemu sahihi kwa kutoa adhabu kwa wahalifu, hii inazidi kuchochea mbegu ya chuki kwa vyombo vya usalama na kufanya vionekane wao ndio sio salama
@ayubu_madenge Tunaipoteza Serengeti kidogo kidogoo ...mahoteli yamejaa, sasa hivi uwanja wa ndege....kwanini hivyo vyote visingefanyika Karatu au maeneo mengine ya karibu na Setengeti ili tusivuruge mfumo wa Serengeti
@IamLASWAI@NyandaAmosi Mbona ishu ni ndogo ambayo haihitaji hata elimu ya darasa la saba..mnaweza mkatumia njia zile zile na mkapata matokeo yale yale tofauti ikawa maeneo mengine kama kwenye uwekezaji (capital) sa hapo utataka return iwe the same. All in all mpeni maua yake akiwa mzima. Uko vizur Amos
@NyandaAmosi@ally_eh Amos una roho nyeupe sana. Hizo mambo zote unafundisha na una ujuzi nazo lakini umeona umpe shavu mwana.....ni upendo wa hali ya juu. GOD BLESS YOU FAM