Mwandishi: Wewe unataka kufanya na kuongeza biashara na Russia sasa mnawezaje kuvuka vikwazo (Russia imeekewa vikwazo).
Rais: Tanzania hatupo kwenye vikwazo. Vikwazo ni vya Russia lakini sio Tanzania na huyo Russia vipo kwnye baadhi ya vitu kama mafuta yake lakini mafuta Tanzania haitegemei uagizaji wa mafuta Russia.
N:B
Jibu la swali " unaitwa nani?" sio mda wote
"Naitwa fulani" mwengine anaweza kwambia "najuulikan kama fulani" au unaweza niita fulani.
Nilichogundua kumbe huwa mnamfatilia kwa ukaribu sana mama kila hatua na kila analoongea mnafanya kazi nzuri sana.๐
Khalifa ndie mwanaharakati pekee alieona kifo cha Angel, maana aliona pia kifo cha Kaka yake Lissu.
Utaratibu wake ni ulele, baada ya interview, unatangulia kwa Muumba.
Khalifa is a Killer
Kama Ndejembi asingekuwa Makamu wa Rais, @mangekimambi angepata wapi muda wa kumzungumzia Ndejembi, au mbona hakuwai kumzungumzia kipindi kile akiwa Mbunge na kabla hajaingia kwenye siasa?
Chuki Humchoma anae hifadhi ๐ฎ
Huyu wa kwaza hapa analaana ya kuharibu na kuumiza familia za watu na Huyu wa pili analaana ya kutokuja kumzika Baba yake Mzee Sarungi.
Oky ni hivi AFCON si jukwaa la kuendesha mapambano ya kisiasa. Ni mashindano ya michezo yanayopaswa kuwakutanisha watu na kulitangaza Taifa....
Safari ya Timu yetu ya Taifa ya Vijana chini ya Miaka 17 (Serengeti Boys) katika mashindano ya Kombe la Dunia inaanza rasmi leo, ikiwa ni fursa nyingine adhimu kwa vijana wetu kuonesha vipaji, uwezo na ushindani wao katika medani ya soka la kimataifa, pamoja na kuandika ukurasa mpya katika historia ya soka la Tanzania.
Ninawatakia kila la kheri katika safari hii muhimu. Chezeni kwa moyo, nidhamu, kujiamini na uzalendo, mkikumbuka kuwa kila mnapoingia uwanjani mnabeba matumaini na fahari ya Watanzania wote.
Kila la kheri, Serengeti Boys.
Mungu Ibariki Tanzania.
Amani, utulivu na umoja ni msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Ni kwa muktadha huo leo nikifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro nimelipongeza Jeshi hilo kwa kazi kubwa ya kudumisha amani na utulivu, pamoja na kuhakikisha nchi yetu inaendelea kuwa salama.
Licha ya kazi hiyo nzuri wanayofanya, ni muhimu kutambua kuwa wapo baadhi ya askari na maafisa wanaochafua taswira ya Jeshi letu. Nimeelekeza wahusika hao wawajibishwe kwa mujibu wa taratibu na sheria. Aidha, nimewasisitiza kutopuuza taarifa yoyote inayohusu usalama na kuimarisha ushirikiano na wananchi katika kubaini na kufuatilia viashiria vya uvunjifu wa amani.
Ahadi yangu kwenu ni kuwa Serikali itaendelea kuboresha maslahi yenu kadiri itakavyowezekana. Nanyi ninawasihi muendelee kutekeleza majukumu yenu kwa weledi, ari na uzalendo, ili kwa pamoja tutimize azma ya kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu: โUsalama Endelevu ni Msingi wa Dira ya Taifa 2050.โ