MWANZA SIO DAR ๐๐ซต๐พ
Wananchi wa MWANZA wamezuia jeshi la polisi kumkamata MH HECHE.
Cheki vibe la WANA MWANZA HAPO.
REPOST 200
#NoReformsNoElection#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
TUZO za jana nasikia Mwamba hakulamba Kitu. Hao waliopata ndio wakina nani?
@chiefodemba unayo tuzo yetu mioyoni mwetu sisi WAPENDA haki. Usiyumbishwe na Hawa VIBAKA ambao siku zo zimeisha.
Utakuwa sehemu ya NCHI YA ASALI NA MAZIWA ukifanya unachokipenda kwa UHURU ZAIDI. Bado kidogo vumilia MWAMBA.๐ซก
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Baada ya kusoma para ya 3 ya Taarifa kwa umma nilitegemea kusikia Yanga SC wamejiondoa kwenye Ligi na kombe la shirikisho kama kweli wamemaanisha, vinginevyo kucheza kushiriki Ligi na mamlaka unazozituhumu namna hii ni kutuongopea na kujihalalishia kuitwa Maadili kwa viongozi wao