Thank you all
EvalYouth Global Network is excited to announce the results of its recent elections of the new Management Group (EYMG 2024-2026).
Based on a successful election process, we are happy to announce the new EYMG members per region: #Africa is Baraka Mfilinge.
𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐅𝐎𝐑 𝐅𝐈𝐅𝐀 𝐏𝐔𝐒𝐊Á𝐒 𝐀𝐖𝐀𝐑𝐃.
Dunia imeona bao bora zaidi mwaka huu ni kutoka kwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Utamu wa bao hili zaidi ni kumfunga mtani na kuchangia mtu kuliwa kichwa.
Jambo la kufanya kwa Mwanasimba ni kutag akaunti ya @FIFAcom ujumbe uwafikie mapemaaaaa!!! #NguvuMoja
🚨 TAARIFA kutoka kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Young Africans, wamefanikiwa kukamilisha mazungumzo ya kumuongezea mkataba wa mshambuliaji wao tegemeo, Prince Dube ambaye anatarajiwa kusaini miaka miaka miwili kabla ya msimu wa sasa kumalizika.
Mzee Edwin Mtei, founder member of Chadema, was buried last Saturday by a big crowd of family, Chadema leaders and wellwishers at Tengeru, near Arusha. He was many things in different contexts but in political terms he was a Titan who layed the foundations of political pluralism in TZ. Long live, Edwin Mtei!
Tatizo la CCM inatumia muda mwingi kuhangaika na CHADEMA badala ya kutatua shida za wananchi! CDM haiwezi kufa kwa HILA za msajili, zuio la mahakama au kamata kamata ya Jeshi la Polisi. Hiki chama hakiwezi kufa kwa kushusha & kuchoma bendera zake nchi nzima. Hata mfunge viongozi & wafuasi wake wote, bado SAUTI YA HAKI itasikika & kupenya kwenye kuta za magereza.
Nadhani mnapoteza tu muda. Hiki chama kiko ndani ya mioyo ya walio wengi. Kimeonesha nia njema ya kuwa upande wa HAKI, upande wa watu & hivyo ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku.
We strongly condemn today's attack on former Deputy President Rigathi Gachagua and worshippers at Witima ACK Church in Othaya, Nyeri County.
This was executed by government sponsored thugs.
A great shame.
Violence and intimidation, especially in places of worship, have no place in our democracy.
We call for accountability and respect for the Constitution.
Tundu Lissu anateseka sana jela kwa miezi 10. Lakini amechagua haki dhidi ya udhalimu. Tumuombee afya njema. Na kinga dhidi ya watesi wetu. Mwisho u karibu. He only needs to stay vigilant & perseverant. Free Tundu Lissu Now.
Imagine, askari polisi wanavamia nyumba ya mtu USIKU mnene, wanavunja mlango na kumchukua kwa nguvu & kumsababishia mtu majeraha. Halafu kesho jeshi linatoa tangazo kwa UMMA kuwa mtu huyo alikamatwa kwa KUTOA TAARIFA ZA UONGO! 🤔 Hili jeshi lina watu KATILI & WAPUMBAVU aisee!😕
Nani anamdanganya Butiku na genge lake kuwa wanasikilizwa? Au nani ka mwambia yeye ni mzee wa busara? Kwamba tunaweza kuzungumza bila uwazi na uwajibikaji?
Anadhani anaweza kusikilizwa na kutiliwa maanani kama Joseph Sinde Warioba?,
Anakaa juu ya ukuta ili aone kote kote! 😂
CHADEMA Arusha. Kuna nyakati historia huwaita watu wake si kwa maneno, bali kwa dhamira. Jumamosi tarehe 24/01/2026, Tengeru Arusha haitakuwa tu mahali pa mazishi ya Mzee Edwin Mtei, itakuwa mahali pa kuhoji dhamiri zetu kama wanachama wa CHADEMA.
Mzee Mtei na wenzake hawakuanzisha CHADEMA kwa ajili ya madaraka, bali kwa ajili ya haki na heshima ya utu wa Mtanzania. Pamoja kuwa niko nje ya nchi kwa masuala ya kifamilia, lakini dhamira yangu hainipi nafasi ya kunyamaza. Natoa wito kwa wanachama wote wa CHADEMA hususani Mkoa wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kusimama upande wa historia kwa kujitokeza kwa wingi sana Tengeru kutoa heshima ya mwisho kwa Mzee Edwin Mtei, muasisi wa CHADEMA. Mzee Edwin Mtei anastahili heshima kubwa, si kwa maneno, bali kwa matendo.
Mungu awabariki sana.
En leur remettant le drapeau national, nous leur avions confié une mission.
Ils l’ont brillamment accomplie, au terme d’un match épique, en hissant les couleurs du Sénégal au sommet du football africain.
Je félicite nos Lions pour cette victoire historique en finale de la Coupe d’Afrique des Nations.
Face à l’adversité et sous une pression immense, vous avez livré un combat héroïque, fait de courage, de discipline et de solidarité.
Cette nouvelle étoile est le fruit de l’effort collectif, de la résilience et de la foi en l’excellence.
Elle honore la Nation tout entière et inscrit durablement cette génération dans l’histoire sportive de l'Afrique.
Merci, Gaïndés !
Le Sénégal est fier de vous et vous sera toujours reconnaissant.
Hii ni siasa ya kujilinda, si ya kujenga. Utii na hofu vimetangulizwa kuliko fikra, na ustaafu umegeuzwa kuwa mapambo ya kiutawala. Kinachoitwa umoja ni hofu ya kupoteza madaraka. Ndani yake, mpasuko upo unanyamazishwa tu. Hali yao ni mbaya sana. DAMU ina sauti kali. Wanaanguka soon. Kwa walioteuliwa wanaona aibu kisirisiri. Lakini ni waoga hawawezi kukataa dhihaka. Mlienguliwa ktk mchakato wa kupata viongozi ndani yao , halafu sasa mnaambiwa mna busara ? Hii ni dhihaka KUBWA.