Uhuru wetu ni wa msingi. Kumshikilia mwandishi wa habari zaidi ya saa 48 bila kumfikisha mahakamani ni ukiukwaji wa Katiba na sheria.
#FreeAloyceNyandaMtozi
"Katika vijana waliopewa kesi za uhaini kutokana na matukio ya tarehe 29.10.2026, na ambao tuliwatetea mahakamani. Hakuna kijana aliyesema alilipwa ili kuandamana."
Wakili @AdvMatata- Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Magharibi

Kuanzia leo Odero Odero sio mwanachama wa CHADEMA.
Hongereni sana Tawi la Olovisa japo mmechelewa sana kumfukuza huyu msaliti.
Chadema sio kijiwe cha wasaliti aende akaungane na wasaliti wenzake.
Mwenyekiti wetu alisema haya miaka 12 iliyopita, kama kawaida ya watawala dhalimu wakapuuza ushauri wa mtu mwema huyu.
Ccm wanakwenda kuingiza Nchi yetu shimoni, Watanzania tunapaswa kuungana kuokoa Nchi hii.