@millardayo Nani kamwambia kiswahili ni mali ya Tanzania? Kuna nchi zina lugha zao but wana andaa makongamano makubwa ya Kiswahili. Hebu waseme wana enzi kiswahili kwa njia gani hii serikali HARAMU?
@swahilitimes //.
We have no government in Tanzania. This is an ILLEGAL government of murderers. We cannot forget the killings of our brothers and sisters on 29th October. Justice must be done, Samia Suluhu Hassan must be sentenced and all of you must resign from your positions.
@swahilitimes Hatuna serikali Tanzania. Hii serikali HARAMU ya wauwaji. Hatuwezi sahau mauwaji ya ndugu zetu 29th October. Haki itendeke Samia Suluhu Hassan ahukumiwe na wote mjiuzuru kwenye hizo nafasi zenu.
@swahilitimes Mtali au superstar β¨οΈ kichaa tu ndiyo ata kuja Tanzania. Kwani royal tour ime shindwa vipi kuitangaza Tanzania. Hii serikali ya wauwaji haiwezi kufanya jema lolote.
@Jambotv_ Niko South Korea sasa kwa zaidi ya miaka 10 sija wahi sikia train haifanyi kazi kwa siku hata moja. CCM ni Chama cha magaidi hakiwezi kutufikisha popote. Na hii Serikali HARAMU hatuitambui. Watanganyika tuipinge kwa jasho na damu
@TZMsemajiMkuu Yani kipindi hicho chote cha zaidi ya miaka 50 hadi sasa hatuna wataalamu wa kuboresha miundo mbinu kama railway. Wakati huo mradi una kamilika kuna nchi kama south korea zilikuwq kwenye vita. Leo zime piga hatua na zina miradi mikubwa na zina simamia wenyewe. CCM ni takataka.
@mwigulunchemba1 Mbona uko mwenyewe sheikh. Au hilo ni kanisa lako. Bado damu zetu za 29th October hatuzi sahau. Na hii serikai haramu tutapambana nayo kwa jasho na damu.
πΉπΏWhy is Tundu Lissu, CHADEMA leader, still detained in Ukonga Prison despite major blows to the prosecution's treason case?
High Court rejected key video evidence & forensic report in Oct 2025, case crumbling, yet no bail, no release.
@SuluhuSamia Dictatorship govt: Free LISU NOW! This is political persecution.
@UN@Amnesty@HRW@EU_Parliament #FreeTunduLissu #HumanRights #Tanzania #Mandamanobilakikomo
Wakitoa elimu sahihi ya haki na amani wewe hautastahili kuwa Mbunge wala kuitwa Waziri mkuu. Hiki ndicho unamaanisha ? Mnasimama madhabauni huku midomo yenu ikinena hila na uongo. Mshahara mkali wa dhambi uko malangoni penu.
@SuphianJuma@SuluhuSamia Pumbavu wa mwisho. Tume gani na wakati @SuluhuSamia amekiri kuua watanganyika. Wacha upumbavu kijana. Hebu tuambie tume zote alizo unda zime fanya nini? Wapi Mzee Kibao. Wapi tume ya Tanpol. Kichwa maji wewe