Mwaka 2019 baada ya kifo cha moja kati ya wasanii niliokuwa nawakubali Golden Jacob (Godzillah)nilipata wazo nikasema siku kama nitakutana na bro @JabirSaleh nitashare nae hii kitu lakini sikupata nafasi leo nimepitia kwenye diary yangu ya mawazo nikakuta nilifanikiwa kuandika.
Wimbo upi kuliotayarishwa na Mikka mwamba unaupenda zaidi ??
Tp 10
Hardmard - tamala
Mad ice -baby gal
Chid benzi-mashalaah
Ziggy dee - eno mic
D knob -kitu gani
Dudubaya -mpenzi
Inspector -geti kali
Balozi - kwenye chart
D knob -elimu mtaani
Saida karoli- maria salome ?
Hip hop !@onetheincredibl amesema wakati anafanya uzinduzi wa album yake ya R.A.P kutokana na sponsor kujitoa akajikuta hana pesa ya kulipia sound akamcheki big bro @FidQ na bro aka clear mchongo!!! Hakika @FidQ ni kaka wa mfano…Mungu amlinde sana kwa love ya hii game..🙏
Mdananda -sheta
Majaliwa - omary omary
Kariakoo- mataluma
Closer - vanesa mdee
Badae sana - mabeste
Baby candy - dully sykes
Get high - Godzillah
Pamoja we can -dj choka ft various
Wakacha - here we go
UKIANGALIA AINA ZA KAZI ZAKE UTAGUNDUNDUA NAMNA GANI JAMAA ALIKUWA MKALII
Miaka sita tangu kifo cha mtayarishaji wa muziki Joshua Magawa Simon
Pancho latino moja kati ya watayarishaji wenye uwezo wa kutengeneza miziku ya aina tofauti Tanzania eg .hip hop rnb mchiriku etc mfano wa kazi zake ni -Dar es salaam stand up -chid benz
Nikimbie -Linah
Hawa ni wakali wa freestyle ( on top of the head) off the dome kuanzia kizazi cha kwanza mpaka sasa!! Nani anakosekana hapa kwenye list ni kbc, hashim dogo,saigon,chid benz,ngwair,nikki mbish,godzila,scoda,@rollymsouth ,mteganda,Stan rymes, toxic,Cado,nyenza. Who is GOAT ?