Ngoma itolewe karibu na moto maana joto ni Kali sana ngozi inazidi kutanuka.NGOMA INAONGEZA UWEZO WA KULIA SANA NA WACHEZAJI WANAFURAHIA ILA I KARIBU NA KUPASUKA
Vijana wenye elimu wameangalia tatizo wanalokutana nalo wamiliki wa vyombo vya usafirishaji na wametumia kama #FURSA,Wana Kila sababu ya kuungwa mkono kwa kuwapelekea vyombo wavisimamie kuepuka adha ya madereva.TARANTA ZIMEACHWA MTAANI
CAG anaeleza katika taarifa yake; @HKigwangalla alitumia vibaya Sh.171 milioni kwa ajili ya kufanya safari binafsi ya kupanda Mlima Kilimanjaro, kwamba alilazimisha fedha hizo zitolewe kutoka kwenye mashirika yaliyo chini ya wizara (TAWA, TANAPA, TFS, NCCA). CAG anasema ni MWIZI.