Campus was so crazy mahn, unaingia class na unamaintain eye contact na lecturer all through kumbe sahizo unafikiria vile mzinga ya jana iliisha na hata hukulewa🤣😂
Nimekumbuka zile hesabu za primary za Post Office letters buana. Ati one word 5 bob mamae. Sasa kama ningekuwa nataka kusema "Ruto must go" ningeandika "WANTAM" ndio nisikuwe overcharged. Thank God for technology mahn.