Hakuna baraka kubwa ya kifedha kama kuwa na wazazi wanaojiweza...
Vijana wengi sana wanachelewa kupindua meza kwasababu ya kusaidia wazazi wako
Kihisia, kimaendeleo na kifedha vijana wanaumia sana, ila hakuna jinsi😩
Wananchi=Mashabiki
Binafsi nadhani changamoto sio kauli za domo, lakini imechagiza kufikia huku.
Kinacholalanikiwa sio campaign wala kuwa shabiki wa Chama fulani.
Kinacho lalamikiwa ni kutosimamia na kuisemea KWELI regardless upande uliopo.
Binafsi nadhani kabla kaka yangu Majizzo hajawaombea msamaha wasanii alipaswa kuongea kwanza na msanii aliyesababisha haya yote kwa kuamini HE IS TOO BIG TO BE CANCELED.
Ukifuatilia hata comment, watu wanarudia kauli zake (huyo msanii) za kejeli. Yeye ndio kawaponza wenzie
a) Ghana has condemned the killing of citizens in Tanzania
b) Ghana was the only African country that condemned the attacks on SA President Ramaphosa by Trump
c) Ghana defended Kenyan GenZ protesters
We need to wish Ghana well as Africans. They are on a very lonely journey !!
Dizasta vina-Confession of a mad son
Fid Q ft Chin Bees-Macelebration
Diamond ft Morgan Heritage-Hallelujah
Buga Lee- Ganja
Alikiba ft M.I- Aje
Kanye West- Blood on leaves
Travis Scott ft Migos - WHO? WHAT!
Tyler, The creator- WUSYANAME
Lil uz vert-Xo tour life
Kendrick- DNA
What the price, T-shirt, Bad and Boujee, Walk it Talk it, Narcos, MotorSport, straightenin, Antidote, Get Right Witcha
This was masterpieces from Migos 🙌🏼🔥
@TillahBlessed Jamaa ameongea point ya kweli japo ni chungu.
"Binadamu wote ni sawa" inabaki kwenye makaratasi tu.
Lakini kuja kui-ishi hiyo statement ni changamoto kubwa sana.
Baadhi ya watu wako na privileges na Kinga kwenye hii Dunia hata tufanye nini hatuwezi kuwa Sawa.
WORLD SYSTEM.
Nilitamani kuingiza 1M kwa mwezi tangu mwaka huu umeanza lakini mpaka sasa sioni dalili kufikia hilo lengo kwa mwaka huu.
Ila Ndoto haifi tunazidi kuipambania mpaka ifike.