Mtu ana mke na watoto lakini bado kila siku yupo mitandaoni anajinasibu kwa kutamani wanawake na kufanya nao ngono maeneo ya starehe bila haya yoyote.
Mwingine ni starehe na matusi mengi.
Na wewe bado unajichekesha kwake tu.
HAYA.
@millardayo Zimegongana na zikageuka juu na chini kwa pamoja ndani ya dakika hiyohiyo watu wakatoka parachuti zikafunguka
Maonyesho ndo unaita ajali chalii.
@EngMapundajr Wangeacha akili za wizi ,ingekuwa new York kweli.
Ila kwa Tabia hizo za pesa zote za mradi kuingizwa kwenye account kisha wanaanza kuziiba baadaye ndo wanakopa Wakandarasi na wazabuni kukamilisha mradi.
Sahau hayo maono.
Mafuta yamepanda kwa ongezeko la Tsh. 1400/=
Gas imepanda kwa ongezeko la Tsh. 5000/=
Hawa Roma&Stamina Na Mrisho Wameshaona Watanzania ni Nguchiro tu.
@tutla7@Makaveli_255@BillyTronix1 Mnamo Tarehe 4 Septemba, 2017, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha alitoa Waraka wa Hazina Na. 3. Waraka huu ulizielekeza wizara zote, idara za serikali, taasisi, na halmashauri zote nchini kuanza kuhamia na kutumia mfumo wa GePG kutoa Control No. kwa ajili ya makusanyo yote ya serkl