@GeronimoMorgans Mkubwa utatumia transition banaa
Sasa pale mbele amuweke nani benchi hebu ona wale wanaume wanavyopishana pale mbele yaani ashukuru hata hizo dakika anazopata that's football ukipewa dakika onyesha na ww zaidi kwa sasa aendelee kuwa muhamasishaji
@JohnieZeBest J3 watu wanaenda shule watabe wanarudi hostel kulala😀😀 kwanza usiku lazima ule daladala mpk kkoo ndo utafute usafiri wa posta asubuhi daladala moja kwa moja