Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni Mkazi wa Morogoro amekutwa mtupu kwenye Madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana lililopo Mtaa wa Matema Halmashauri ya Mji wa Makambako, Njombe huku sababu zikiwa bado hazijajulikana.
#MillardAyoUPDATES
Wengi wanashindwa kufanikiwa kutokana na kuufikiria wakati wanaoupitia kuliko kufikiria matokeo watayoyapata kutokana na wakat wanaoupitiaπππ€πΆππππ€