SANAA YA KUIBEBA FURAHA BILA KUIHARIBU.
Watu wengi wamejifunza kuhimili maumivu, lakini hawajajifunza kubaki ndani ya furaha. Inapokuja hali nzuri kama amani, upendo au mafanikio wanajikuta wanaanza kujiuliza maswali yasiyo na lazima.
A THREAD ๐งต
UNATAKIWA UFE MARA KADHAA ILI UANZE KUISHI KWELI
Wanasema unatakiwa ufe mara kadhaa kabla ya kuanza kuishi kweli. Na kifo hicho si cha mwili, ni cha ndani.
Ni pale unapopoteza version yako ya zamani. Imani ulizokuwa nazo, watu uliowazoea, ndoto ulizodhani ndizo zako milele.
๐งต
Day 20 Mantra.
Leo nachagua kupokea bila hatia.
Ninastahili mema yanayonijia bila kujitetea. Kile nilichokuwa nakikimbiza, sasa kinanikimbiza.
Niko tayari kupokea kwa moyo wazi na akili tulivu.
SIO WEWE UNAYEUMIA, NI EGO YAKO.
Unaumia kumuona ananawiri, unaumia kuona anaonekana ana furaha bila uwepo wako. Unaumia kuona kama amemove on haraka sana, kana kwamba wewe hukuwahi kuwa sehemu ya maisha yake.
THREAD ๐งต
Lala usiku wa leo ukiwa na Imani kubwa kuwa MUNGU anaelewa changamoto unazopitia na atazirekebisha. Yeye atafungua milango ya Mafanikio na furaha ambayo hakuna mtu yoyote yule anayeweza kuifunga.