@k_mjege Competition to Mwendokasi, siyo? They won't survive kiukweli, figisu zitakua nyingi sana. Kuna watu wana uwezo wa kufanya hili wazo ila shida ni "Power"
Je, mnajua kwamba kwa sasa nikitaka kusajilia App ya M-Pesa kwenye simu ya android kuna failure? Huwezi kupata OTP au hata ukipata next step unaambiwa badilisha PIN, ukibadili PIN inakua that's it, hakuna kinachoendelea. When do you expect to resolve this issue?
@VodacomTanzania
@ErickKamihanda Mimi binafsi sijakuelewa, nielekeze taratibu tafadhali. Nipate all the facts ili nije kufanya the right decisions/kushauri watu wafanye right decisions.
@MarekaMalili Na mwamba anatoa attention fully, yuko ready for anything na ukute mpaka sasa anatumika ipasavyo ila hazingatiwi. Anachukuliwa for granted, afu mtu ananasa anapoteseka. Hili swala huwa complicated sometimes...😂😂
@MarekaMalili In my opinion, this is why wengi huwa hawafanyi ku share about their lives. Maana huwa wengi mna post online kama hivi. What naelewa, this should have been between you guys. It's unnecessary kuja ku post huku. But hey, sijui mengi nahitaji kupewa miongozo sana...🙏🏾