@Therealngassa hapo ni kuna kitu cha hovyo kashajua umefanya sasa anakuangalia mara kwa mara aangalie ni njia gani atakukomeshaa nayo ikifika hapo mueke chini muulize shida nini maana ukizuba next time utaamkia mbinguni😂
@SadickTusia Sinza frame haziko tena ni mall watu wanachukua its better ucheck simu200 pale na mwenge ya TRA ile na KCMC complex ziko za kawaida ila mbwembwe kidogo unatoa kitu kikali na people take 6 months rent fresh tu
@Adam00133776454@SadickTusia center pale bila kuwa na atleast 400k usiendee ila huku nyuma nyuma massana to goba center karibu na road kabsa unadaka hata ya 200k tu