Maafisa watano wa Polisi wameuawa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulio la watu wenye silaha lililotokea Jumatano katika Jimbo la Michoacán Magharibi mwa Mexico, eneo linalokumbwa na shughuli za magenge ya biashara ya dawa za kulevya.
Kwa mujibu wa Mamlaka za eneo hilo, Polisi hao walishambuliwa walipokuwa wakisafiri katika gari lao katika Manispaa ya Nahuatzen. Picha zilizochapishwa zinaonyesha gari hilo likiwa na mashimo mengi ya risasi kutokana na mashambulizi hayo.
Tukio hilo limetokea saa chache kabla ya kuanza kwa kombe la Dunia 2026, ambalo linaandaliwa kwa pamoja na Mexico, Marekani na Canada.
Mamlaka za Mexico zimeanzisha uchunguzi wa shambulio hilo huku juhudi za kuwasaka waliohusika zikiendelea. Serikali imeahidi kuimarisha usalama katika maeneo mbalimbali ya nchi wakati wa kipindi cha mashindano ya Kombe la Dunia.
#KitengeUpdates
@pluto__hndrx@INFLUENCERjr Ukiwa mchezaji bongo ni adhabu tosha hata ukienda dukani kununua mazaga unapigwa picha utaskia mchezaji wao kaisha anazurura huku, kama hujaoa huruhusiwi hata kulomba ukionekana tu na demu noma
Serengeti Boys wavunja kambi leo wataondoka kesho kila mmoja akiwa na 2M kutoka TFF, lakini walidondosha machozi baada ya kuambiwa waache namba za akaunti za benki kwajili ya kuwekewa pesa za ahadi ya serikali 500M ambazo mchakato wake unaendelea.
🗣️ Kevin-Prince Boateng: “My favorite team was Real Madrid and the best was Cristiano. When I signed for Barcelona, they told me to say Barcelona was my favorite team and Messi was the best, otherwise I couldn’t play there.”
Cristiano Ronaldo’s reaction on Instagram. 😂