Sio kwa ubaya lakini nadhani maisha ya bongo yanahitaji zaidi MAARIFA & AKILI, Elimu iwe sehemu ya kuongeza ujuzi. Watu wengi Wana Elimu kubwa lakini hawana Akili Wala Maarifa.
Kama haupo kwenye mfumo wa Payroll, kwa Ground unapaswa kuwa na maarifa zaidi kuliko Elimu ya shuleni
CAF CHAMPIONS LEAGUE 🤩
.
🇲🇦 FAR RABAT 🆚 YOUNG AFRICANS 🇹🇿
⏰ 22:00
🏟️ Prince Moulay
.
Ushindi wa Yanga ni muhimu leo kwani ikifanya hivyo, itarudi nyumbani kukamilisha ratiba tu huku ikiwa imeshafuzu robo fainali. Kitendo cha Yanga kushinda 1-0 nyumbani dhidi ya AS FAR Rabat katika mechi ya kwanza, kimebeba matumaini makubwa ya kufanya vizuri mechi hii ambayo hata sare inawabeba Wananchi.
.
Kila la kheri @YoungAfricansSC 🇹🇿
MECHI ZA LEO ZA CAF CL & CAF CC - FEB 7, 2025
16:00 Power Dynamos 🇿🇲 🆚 Berkane 🇲🇦
19:00 Petro De Luanda 🇦🇴 🆚 Simba 🇹🇿
19:00 Azam 🇹🇿 🆚 Maniema 🇨🇩
22:00 AS FAR 🇲🇦 🆚 Yanga 🇹🇿
22:00 Kabylie 🇩🇿 🆚 Al Ahly 🇪🇬
Mechi gani hujapanga kuikosa?