"USAFIRI WA SGR HATA BAADHI YA NCHI KUBWA HAWANA,WATANZANIA TUJIVUNIE"
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kujivunia miradi mikubwa ya kimkakati ambayo kwa sasa imeanza kuonesha matunda ya kuwanufaisha Wananchi,kama vile SGR
"MWIGULU-WATU WANASEMA NASHUGHULIKA NA VITU VIDOGOVIDOGO."
Waziri Mkuu amewahakikishia watanzania kwamba hakuna mwananchi ambaye hatasikilizwa Kero yake.
Kwakua kila mwananchi ana haki ya kusikilizwa.
@mwigulunchemba@gersonmsigwa
@jokatemwegelo
@owm_tz
@ikulu_mawasiliano
KABLA YA KUZALIWA KRISTO VITABU VILIANDIKA ATAZALIWA YESU,WATU WAKAISHI NA WENGINE WALIKUFA BILA NDOTO KUTIMIA,
SISI TUNAOISHI LEO NI WA BAADA YA KRISTO,NA TUNASOMA VITABU KAMA HISTORIA.
MUNGU ATUBARIKI TUISHI NA KRISTO KATIKA MAISHA YETU,
TUJITOE KAMA MAMAJUSI.
Katika Nchi hii hakuwahi kutokea na hatatokea DJ Mkali wa Kike alitevutia Kwa Wasikilizaji kuanzia kuongea,kucheka, na kupiga Ngoma kama DJ @DJFetty wa Clouds.
Kinachowabeba Ma DJ waleo ni kutokana na ukuaji wa TEHAMA nchini.
Hivyo tuitumie vizuri MITANDAO YA KIJAMII KUELIMISHA
Ni Bora kuamini Mungu yupo halafu ukienda Mbinguni ukute hayupo, kuliko kuamini Mungu hayupo halafu ukienda Mkute yupo..Haahaaa haahaaa.........MUNGU YUPO NDUGU ZANGUNI..