@SuluhuSamia Baba umejificja wap wewe Eewe Mwenyezi MUNGU ulie tukuka baba umejificha wapi muumba angalia Watanzania wapi tunapo enda Toka umvhukue magufuli kila kitu kimebadilika maisha yamekuwa magumu maiji na vitu vingine havipatikani Eeewe MWENYEZI MUNGU Uliye tukukatusamehe madhambi bab
@HKigwangalla Yani watu kitu hadi mkitoe kasoro tu nyinyi mnataka amkuze kwa misingi ipi ya dini wengine mnakashifu tu mtoto wa mwenzenu unakuta mitoto yenu midangaji
@eastafricatv@SuluhuSamia Jamani huyu mama sasa anataka kutupotosha watoto wa kike ili tuwadhalau waume zetu mama umekosea sana kumbuka nikatiba tu ndo ilikuweka uwe Rais
Jaji anajua hii kesi inafuatiliwa na watu wengi na hata mwisho anawashukuru wafuatiliaji. Mtaani hali ipo hivyo. Rafiki yangu anasema mzee wake kamueleza awashe laptop asome tweets, simu inamzingua. Nipo kijiwe cha supu muda huu, watu wanajadili kesi. Hakika, tunafurahi
@SuluhuSamia Namkumbuka tu Rais wangu magufuli hakika mungu aiweke roho yake mahali pema peponi alitusii sana nene kuhusu kumuomba mungu kila siku ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ hakika Mungu alichukua mtu wa muhimu sana aliye kuwa anatutia moyo Ewe mwenyezi MUNGU iweke roho ya Rais Magufuli mahali pema Amin.
@jokateM@Qailunu Huyu mama amalize tu hii miaka aliyo achimwa namagufuli akimaliza atembee hatumtaki hatumwitaji maisha ameyafanya yamekuwa magumu sana na bora hata ya magufuli