Grateful that Binti Kigoli reached 3rd in the Filmmaker Assistance grant @DCP_Foundation
Big love to everyone who voted & believed in this story. This is a win for African cinema & for all who keep pushing culture forward.
Were creating our next community short film called Binti Kigoli
Binti Kigoli is a powerful historical thriller drama rooted in East African coastal mythology and resistance
Learn more and vote for us on @DCP_Foundation to bring it to life
https://t.co/BhyUv2dbZP
Nimempenda sana huyu mama. Ni SHUJAA.
Anadai HAKI yake ya KUHAKIKI kipimo cha gari yake kwenye mizani kabla hajalipa faini.
Jibu analolipata: “Usitufundishe kazi sisi”
Swali:
Mbona Tanpol wanatuonesha picha tukienda spidi ili tuhakiki UKWELI wa dai, Tanroads wanaficha nini?
@KingPablotz @Mauwezo_1@diamondplatnumz I once told someone kisa hio hio akiwa anabisha Diamond can’t be number one kwenye utajiri Duniani kwamba kama wote tupo chini ya jua moja na Mungu ni mmoja, anything is possible… Diamond is a hard working man ila watu hawaelewi wala kuona hilo. Atakua tu😂 inshallah
Hii move ya Diamond si ya kawaida. Wengi tunategemea yeye afanye biashara zinazohusiana moja kwa moja na muziki.
Lakini Chibu anajua game—sabuni ni bidhaa ya kila siku, kila mtu anaitumia!
Kila biashara aliyogusa Diamond, aliigeuza brand kubwa. Na sasa anaingia kwenye hustle ya products za homecare.
Sabuni ni bidhaa inayoingiza pesa kimya kimya, lakini market yake ni kubwa sana!
Hii inakufundisha nini? Ile mentality... Anajenga legacy ya biashara
Diamond anajua kuwa mabilioni hayawezi kutoka muziki peke yake. Ndiyo maana unaona anapanua biashara sehemu mbalimbali, kutoka entertainment hadi bidhaa za kawaida.
Wakati wasanii wengine wana-focus kwenye shows na endorsements, yeye anawekeza kwenye vitu ambavyo vitamletea pesa hata miaka 50 ijayo.
Na biashara zinazoweza kuendelea.
Jay-Z aliwahi kusema?
"I'm not a businessman, I'm a business, man!"
Diamond anafuata huo mwelekeo.
Anakuwa zaidi ya msanii, anakuwa brand. Na brand kubwa inatengeneza products kubwa!
Hitmaker wa muziki, sasa hitmaker wa sabuni!
Je, Wasafi Soap itashika sokoni kama ilivyo kwa bidhaa zake nyingine? Au hii ni mojawapo ya trials ambazo zinaweza kufail?
Nani anajua?
Jambo moja ni dhahiri—Diamond anaonyesha njia mpya tena kwa wasanii wa Bongo.
Biashara haijui mipaka, na jamaa anahakikisha haishii studio peke yake.
KOMENTI CHINI! 👇🔥
Kama huamini, hebu angalia hizi moves zake:
WCB Wasafi (Lebo ya muziki), nafikiri ilikuwa 2015.
Hakuna wa kubisha ndio lebel ilioleta mapinduzi ya kiburudani hadi leo, wengine wote ndio akili zikafunguka na wao wakaanza kuwekeza kwenye lebel.
Mfano hai ni. KONDE
Badae Wasafi Media (TV & Radio), nani aliamini kama msanii anaweza kumiliki Media, ilikuwa kama utani vile mbele ya maGURU wakubwa, mawingu na wengine
Mwamba kaweza na media imesimama sawia, umeona baadae na wengine wakafuata nyendo.
Chibu Perfume (Manukato) & Diamond Karanga (Karanga Business) ingawa hazipo tena masikioni, yeye ndioa anajua changamoto za biashara, ni kawaida, alijaribu na uliona wengine walifuata nyendo kama vile "Mo moto" na nyingine.
Wasafi Bet (Kamari ya Mpira) - wazee wa mikeka bado pia ni Ambassador wa Pepsi na Airtel
Na sasa… Wasafi Soap! 🧼🔥
Yes, Chibu Amezindua leo bidhaa yake mpya inakwenda kwa jina la Wasafi Soap.
Mmmh ndugu yangu Champ jipange @mpambazi - Natania
Swali ni moja: Kwa nini sabuni? 🤔
👇🏾
Queens and Kings were born in MARCH.
20.03 special thanks to MR & MRS URBAN COSTANTINE NDUNGURU— wazazi wangu 😍
Happy Birthday to me, Jojo aka JUM ♥️
“Mimi Ai imeniongezea ubunifu na kunipunguzia muda ambao nilikua nautumia kwenye kazi, Nikishapata andiko basi nakaa chini na kuedit na kuliangalia kwa jicho langu , Yaani akili mnemba pamoja na akili yangu " @ZuwenaKhatib https://t.co/fBdmAWeSj6
Mimi napenda kuita Akili Mnemba kama Akili saidizi na nitaelezea , watu wawili wanaotumia akili mnemba , kuna wanaoishi south na north wale wa south wanategemea Ai kwa kila kitu na wanaiogopa maana imewazidi na wanaiona inatishia kazi zao 1/2 https://t.co/fBdmAWeSj6
“Waandishi wengi wamekuwa wakileta story nusu na haziko balanced na hazifuati kanuni za uandishi sasa tukileta mambo ya akili mnemba si ndio story zitakua hazieleweki” John Wa @Jambotv_ https://t.co/fBdmAWeSj6
Mimi kama John naamini kwamba taaluma
ya uandishi wa habari inahitaji watu wanaofikiri kwa kina ,
watu wafanye uchambuzi na research mtaani ili unapokuja na stori uwe umepata yote na muhimu kuzingatia hisia ya walaji , Unapotumia Ai unapoteza uhalisia https://t.co/fBdmAWeSj6
Mdau anasema "Kutegemea AI kunaweza kupunguza ubora wa habari.
AI inaweza kutoa habari zisizo na muktadha wa kina, kupunguza uchunguzi wa kina, na hata kusambaza taarifa zisizo sahihi.
Mwanahabari makini anapaswa kuiboresha, si kuitegemea 🤛🏼
#AI4MD
https://t.co/aEQz68zVTx