Ukimtendea mtu ubaya hakikisha upo kwenye dunia yako peke yako ambayo haihitaji mtu yoyote nyuma yako, umejitosheleza. kwa sababu kuna nguvu kubwa ya ubaya kumuinua zaidi yule uliyemtendea.
"Watatoa pesa kununua maua kuweka juu ya kaburi lako, ila wasiweze kutoa pesa kunusuru uhai wako". Hii wanaita tunachagua tupendacho bali si utakacho 🙌
Nilienda bank moja hapa mtoni kuulizia mkopo. Wakaniambia riba ni 10% kwa personal loan. Mfano ukichukua million 10 utalipa milion 11 ndani ya miaka mitano. (Mikopo ya biashara mpaka 3%) Bank za bongo unaambiwa riba 16% kwa mwaka. Mtumishi anaweza kopa milion 10 akalipa million 25 ndani ya miaka mitano. Yaani riba ni kubwa kuliko mtaji uliochukua.
Ndio maana kila mwaka wanatangaza faida ya mabilioni.😃
Men can stay up til 2 a.m., wake up at 6, be in debt, broke, alone, and still have faith that one day, everything will work out. It's called being a man.