Our counterparts in Tanzania — Tundu Lissu’s lawyers — and his family have been denied access to him. His whereabouts are currently unclear. The authorities must immediately disclose his location and ensure his safety. This is a serious escalation.
@SuluhuSamia Mama yetu hongera Sana kwa kazi nzuri , umetufikisha mahala ambapo Tanzania ikitajwa majirani lazima wainue shingo zao juu, hatuna cha kukulipa Ila tunakuombea heri , nikutakie maandalizi mema ya uchaguzi October,, na kwa imani najua bado utaendelea kutuongoza. Amin.
@MariaSTsehai Usimuwazie mtu mabaya, haijalishi anapitia mazingira ya namana ipi, Mama yetu yupo salama na atazidi kuwa salama Mungu Ni mwema mno. Acheni uzushi wa kipumbavu.