@francismtey Sina historia ya kuacha ndala
Ungejibu ungegundua MUNGU ndiye mmiliki wa kila ki2 psalms 24:1
Kwa 7bu ndiye aliyeumba, pia ndiye anayewapa watu utajiri 1 Nyakati 29:12-13
Shetani hamiliki chochote anachofanya ni kudanganya watu kuwa ni mmiliki ilhali HANA ALICHONACHO
Kama SHETANI alimchukua YESU mpaka juu ya mlima
na kumwonyesha Fahari zote na mali za ulimwengu na kumuahidi atampa akimpigia goti...
Luka 4: 5-8
Wewe unasema kwamba SHETANI hana nini?
Hayo Majina Mnayopewa Kutoka Kwenye Bibilia Mnyang'anywe π€£
Mfano
Ukiweka 500k kwenye fixed acc kwa miezi mi3 utapata faida gawio la 3% = 15,000
Wakati hela yako ikiwa fixed unaweza kukopa kama 340k kwa mwezi mmoja na utarejesha hicho kiasi ulichokopa na riba ya 5% kama 17,000
Hela ni yako ila ukiikopea makato yanakuwa xβdufu
@Freddiemnaly@mwanasheriaT@BEliuter@francismtey Agizo la kuzaliana lilitoka mara baada tu ya kuwaumba Adamu. Lilitoka kabla ya uasi mkubwa so kuijaza dunia ni sehemu ya mpango wa Mungu genesis 1:26-28
@assengajrr Kwa hesabu hiyo unapaswa kufuga kuku si chini ya kuku 800 wa kienyeji π
Kama ukinunua vifaranga 800 kwa bei ya 1500 unapaswa kuwa na kuanzia 1.2 m happ hujataja ujenzi wa banda, chakula/chanjo kuanzia wakiwa vifaranga hadi wakati wanataga
Wazo lako linafikika ila si la kila m2
@mwanasheriaT@BEliuter@francismtey Sio kila kitu ni mpango wa Mungu vingine ni matokeo ya maamuzi yako/yetu au ya mtu fulani then yagharimu wote.
Mfano: mauaji na utekaji sio mpango wa Mungu