@assengajrr Sasa hujahesabu huko kwenye vyombo vya ulinzi mpaka mahakama kote anateua na kutengua yeye,kwenye bunge huyo speaker asipomsikiliza rais anafutwa uanachama(rais mwenyekiti wa chama),akifutwa uanachama anakua sio mbunge tena na u speaker bye bye..anapewa mwingine๐ค
@JoyceHuru Logic yake ni nini?kwamba kuna wahalifu wa nchi jirani wameingia nchini???kama ni hivyo,mimi siwez kuwaingiza wahalifu nchini alafu niwapeleke hotelin au lodge,si nawaandalia makazi tu ndani ya nyumba yenye geti pale ununio kuna mtu atajua?
@IAMartin_ Kwa sasa chama wawe wanaingia live mitandao yote Instagram,Facebook na YouTube kila siku saa 12 jion mpaka saa 3 hivi,mh Heche aendelee kuwapelekea moto๐ฅ๐ฅ