Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa Alison.
Inatoa kozi mbalimbali za bure pamoja na certificates.
Unaweza kujifunza:
- Business
- IT
- Marketing
- Health
- Personal Development
https://t.co/UmmAKcJVyM
Hii Challenge ya Content creators wa Mbeya kuwasanua watu kuwa jiji lao sio sio Green tena ni Handaki la Vumbi imekaa unyama sana tulizoea kuona Kigoma.
Lazima Dunia ijue kuwa Hiyo Green inayoongelewa pale town saizi hamna. 🔥
Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa Alison.
Inatoa kozi mbalimbali za bure pamoja na certificates.
Unaweza kujifunza:
- Business
- IT
- Marketing
- Health
- Personal Development
https://t.co/UmmAKcJVyM
Unataka kuwa Vizuri Kwenye Copywriting?
Acha kurukaruka na kusoma kila kitabu.
Unapoteza muda.
Soma:
- Adweek Copywriting
- Great Leads
- Breakthrough Advertising
- Ogilvy on Advertising
- Scientific Advertising
Soma zaidi ya mara moja.
Fanyia kazi.
Nakuahidi Hautajutia.
Nakukumbusha tu:
Kutafuta taarifa Google ni bure.
Google Digital Garage ni bure.
Mitandao ya kijamii ni bure.
Kutumia YouTube ni bure.
Saylor Academy ni bure.
FreeCodeCamp ni bure.
KhanAcademy ni bure.
SoloLearn ni bure.
Quora ni bure.
Reddit ni bure.
JIONGEZE
Ikiwa Unataka Kuongeza Bidii Katika Kila Jambo Unalofanya Lakini…
…mara nyingi unakuwa na uvivu.
Basi tafuta kitabu cha Mel Robbins kinaitwa—THE 5 SECOND RULE!
Kitabadilisha maisha yako. Utaongeza hamasa ya kufanya vitu na kuacha tabia ya kuhairisha mambo.
Tovuti 10 unazoweza kujifunza Microsoft Excel bure:
Zitafute hizi kwenye Google:
1. Microsoft Excel Help Center
2. Mr. Excel
3. Improve Your Excel
4. Excel Easy
5. Excel Jet
6. Excel Exposure
7. Chandoo
8. Excel Central
9. Contextures
10. Excel Hero
Moja ya kikwazo cha kufikia cashless economy ni transaction charges ambazo hazina uwiano na thamani ya huduma.
Tungeanza na kupunguza au kuondoa makato kwenye micro-payments.
Mpendwa Kijana wa Tanzania,
Kuna siku utaona kama hakuna anayekuelewa. Lakini usijisaliti ili ukubalike kwa watu.
Kuwa halisi, kuwa mwaminifu kwa ndoto zako, maana dunia haihitaji copy nyingine — inakuhitaji wewe.
Ben Pol jana Instgram ame share stori ya maisha yake baada ya kuwa star since 2010, mwaka 2014 alifirisika na kuanza moja, hakuna show wala dili lolote, alikosa mpaka 3,000/= akaamua kurudi kwao Vingunguti, stori inagusa sana.
Kaisikilize uenda ikakuongezea kitu hapo ulipo leo!