@dizastavina@PanAuthentik Gharama gani kwenye chakula, ila wakati
Wa mapishi tunajua chenye thamani huwa ni chumvi
Jumbe zinasafiri ka fununu
Tunu ya sentensi ya kikatili ka hukumu
Sumu wanajadili, ka kutano la siri
Mawakili wanakesha kunikabili ka jukumu....#Shaaban_Ngugi@Kaa_Moto
@dizastavina@PanAuthentik Hii kalamu ipo huru, nawakata-kata, Kalima
Kwa hii fasii ilojaa nuru, Allah, Rasulu, Madina
Nashukuru kwa hii zawadi,sitoikufuru, Karima
Naamini yeye ndiye mpaji,kanipa kipaji, Ngirima
Kuna siku nitasimamiwa,watu hawatashuka,sijida
Acha nifanye leo,hata kesho nikishuka, siji Dar