Today, let’s dissect and discuss a Complete Blood Count (CBC) like a specialist. But not just any CBC. This actual report is a downright medical emergency. If you see this on the wards, you drop everything. Let me break it down in detail
@hassanools@BarakaMaviatu@phano09@kanuanu36 Ukiongelea ushahidi tayari unaigusa utafiti, lakini tukumbuke siyo kazi ya mtafiti ku-prove negative claims maana yeye anafanya kazi katika existing premises. Unayedai kuna moto as shahidi wa hizo shuhuda ni kazi yako kuleta ushahidi utakaotoa majibu bila kuacha maswali ya ziada.
Be careful with this idea that ‘everyone is replaceable.’ Some people are one-of-a-kind. If you lose them, life won’t hand you another version. You don’t meet certain souls twice
@SShikilie77551@2CharlesWilliam Hakika, viongozi wengi hawana sanaa ya mazungumzo kuanzia kusikiliza hoja, kujibu hoja husika na tone anayotumia. Hataki kusikiliza wazo kinzani.
@2CharlesWilliam Kuna kitu huwa tuna sahau Malezi ni zaidi ya kulisha, kuvisha na kuwezesha sehemu ya kulala, kuna hitaji la ndani kwa mtoto kupokea upendo, kujifunza, n.k kutoka kwa baba na mama ili kuijenga kesho bora isiyochangama na emotional trauma.