@L3galtool ๐ ๐ ๐ ๐ our grandfathers, domesticated this gender, but we think we're human enough to advocate and facilitate equality. Now see how stupid they have become.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pemba kimeutaarifu umma kuwa kimemvua uanachama Ndugu Said Issa Mohammed kufuatia makosa ya kinidhamu.
Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha dharura cha Kamati Tendaji ya Kanda kilichofanyika Juni 06, 2026 katika Ukumbi wa Pride ya Zamani, Chake Chake, Pemba, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kanda, Mheshimiwa Omar Nassor, kwa kuzingatia Katiba, Kanuni na taratibu za chama.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kikao kilijadili suala la nidhamu dhidi ya mwanachama huyo na kufanya tathmini kabla ya kubaini kuwa amekiuka masharti ya chama, hali iliyosababisha hatua ya kumfukuza uanachama.
Kutokana na uamuzi huo, chama hicho kimesema kuwa kuanzia tarehe hiyo Said Issa Mohammed hatambuliki tena kama mwanachama, kiongozi au mwakilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika ngazi yoyote.
Aidha, CHADEMA imesisitiza kuwa kauli au matendo yoyote atakayofanya baada ya kufukuzwa yatakuwa ya binafsi na hayatahusishwa na chama hicho.
#KitengeUpdates
Hello @CRDBBankPlc kuna mfanyakazi wenu tawi la lumumba kariakoo anaitwa Miriam anakaa table 15 I think she's the best ever ana huduma nzuri sana please mpeni hata tuzo ya mfanyakazi bora wa mwezi she's the best
Most modern women will follow this path:
-Be a total wh@re in her 20s, get shit, tattoos, travel and party.
-At 29, become very religious, meet a rich simp that ignores her past, make him wait for s3x, marry him
-By 35 have your 3 kids out of the way.
-At 38, get bored of him, take half his shit, the house, and the kids, and be a total whore again.
-By 40, become a life coach, and teach other women how to live life.
huu ni mnada wa waafrika waliokamatwa libya wakijaribu kwenda ulaya. hapa wanauzwa kama watumwa. umoja wa ulaya, na nchi wanachama wake, wanalifahamu hili, maana wanafadhili. umoja wa afrika, na wanachama wake, pia unafahamu. why wapo kimya?
Very true. That is why we donโt blame men who cancel weddings cos they found out she has PCOS.
Without a properly functioning ovary, a woman cannot perform her role as a wife.
Siku hizi kuna great political awakening, vijana wanapunguza kufuatilia umbea na masuala yasiyo na maana. Hili ni tishio kwa Wanasiasa wengi kama sio wote.
Msishangae kinachoendelea.
Siasa za hoja kwa hoja mliziangamiza wenyewe. Lissu alisimama na mikataba ya madini mpaka amendments za mwaka 2017, akapigwa makumi ya risasi, Soka alimtukana nani? Mliwaweka jela mamia ya Wapinzani, leo mnataka Siasa za staha. Usenge usenge tu!
Mimi ni CCM, lakini nikimtoa Tundu Lissu, mwanasiasa wa upinzani anayeelewa vizuri nafasi yake ni ZZK. Ana uwezo wa kukosoa, kujenga hoja na kutoa suluhu. Mara nyingi ukimsikiliza, anakufanya uone wazi pale serikali ilipokosea na nini kilipaswa kufanyika. Huo ndiyo upinzani wenye tija ukosoaji wenye hoja na mbadala. Viongozi wengi wa upinzani nchini ni walalamikaji na wakosoaji tu. Jamaa ana maarifa sana kuliko mabrother wengi wa upinzani hapa nchini. So inspired ๐ช๐ฟ. Sikilizeni mahojiano yake na cloud media juzi.