Kwa kauli kama hizi wangepaswa kuandakiwa barua na msajili ila hutaona wakiandikiwa barua maana ni wale wale, lakini kauli kama hizi ndo linagawa Taifa na kueneza chuki, taharuki na kuleta hali ya kuondoa amani, ila msajili haoni anasubiri CDM wajibu awaandikie barua.
Unaacha kueneza ajenda za chama chako unajigeuza msemaji wa CHADEMA, Chama kilitangaza kufanya mikutano ya hadhara kukiamsha chama baada ya kufungiwa kwa siku 300+ pia ajenda za mikutano hiyo ni #FreeLissu#OperasheniKatibaMpya acha porojo
Pia hiki ni chama cha siasa kinaendeshwa kwa utaratibu na endapo kikataka kuitisha maandamano Ibara ya 20 ya Katiba inalinda uhuru wa kukusanyika na kujumuika kwa hiyo maandamano ya amani sio kosa la jinai ni haki ya kikatiba
Cc @IntlCrimCourt
This goon Clemence Mwandambo is a man who got fame for appearing to back peaceful protests in October 2025 and later the family claimed he was abducted. Since his release, he has changed and now is openly threatening with gun and violence peaceful protestors on 7/7
He is now a proxy of Abdul Ameir - and they are planning a new massacre!
Kindly note and keep him on record for further action during the trial! Cc @SenateForeign@SFRCdems@US_SrAdvisorAF@StateDRL@UN_HRC@WorldBankAfrica@IMFAfrica
Kama ni upumbavu basi ni hii! Mwandambo ameji-incriminate na atakuja kuwa shahidi au mshtakiwa! Asifikiri ni sifa kutisha watu na bastola ya Abduli?! Tunajua ametumwa na Abduli kuleta gumzo - he is just pathetic!
Kesho yakimpata asilalamike eti alilazimishwa - kajitakia mwenyewe
Acheni vitisho ๐ฎ mnatia watu hasira - mnafikiri ninyi mtaishi milele!
Tusiogope wapendwa! Tumeshashinda hawa wamepagawa
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
@Elvismathew9@RKishaija81715@pluto__hndrx Hivi unazani kuna mtu anatamani kufanya mambo mashenzi? Ugumu wa maisha ndo unapelekea yote hayo huezi jua mtu kajaribu njia halali ngapi mpaka kaangukia wizi, yote hayo ukiweka kwenye kapu moja hakuna mtu angehangaika kufanya yasiyo faaa
@emabilly2001 Wewe sasa ndio wa kulaumiwa hapa mwenzio alishafuta wewe unapist yanini? Au ndo mnatafuta engagement bila kujali madhara yanayoweza tokea?
@k_mjege Hilo halikwepeki hasa kwa nchi yenye umaskini wa kutupa, michakato yenyewe sio rafiki watu lazima wagushi kwaajili ya manufaa yao ya baadae na Taifa kwa ujumla,