"Kiwango cha juu kabisa cha elimu ni pale unapoamua kukaa kimya hata kama unajua ukweli, ili kumpa amani asiyejua."
Good Morning โ family โ๏ธโ๏ธ๐ค
Majirani ndio msaada wa kwanza kabla hujasogea kwa ndugu.
Ishi nao vizuri ila kwa akili zaidi,usiwasogeze karibu sana mpaka kufika kuingilia uhuru wako na wala usiwaweke mbali ili iwe rahisi kusaidiana.
Mazoea mengi huleta shida,kujitenga ni hatari,kuwa kati.
Good morning fam.
TUNAKUMBUSHWA
Kwenye maisha kuna kusubili na kupoteza muda, jua tofauti kati ya hali hizi. Usijedhani unasubili kumbe unapoteza muda.
Morning X Family๐.
Asante Mungu wangu kwa kunilinda usiku kucha na kuniamsha leo nikiwa mzima wa afya! ๐๐ฝ
Ni siku nyingine tena ya neema yako. Nakutegemea Wewe katika kazi zangu na majukumu yangu yote.
Abariki kazi za mikono yetu na utupe neema mbele Zako.
#AsanteMungu#NeemaYako
Good Morning X
Countries that will be hate watched the most at the World Cup.
1. USA - for how they treated Omar Artan
2. South Africa - For Xenophobia
3. Morocco - For robbing Senegal
Now for Football banter
4. Portugal - Messi fanboys
5. Argentina - CR7 fanboys
6. England - The English media is pathetic