@ThomzJoseph Ineos kwenye hili deal wamefail wenyewe baada ya mazungumzo ya wiki moja tu walipaswa kumove on kwa kujua kuwa wasingeweza kumsajili wamedelay sana na sasa spurs kaharibu hali ya soko katika kipindi hiki cha usajili
@ThomzJoseph Man united ya INEOS haiwezi kutoa hiyo pesa kwa mchezaji timu yake imeshuka daraja? Ni sawa sasa ubaya ni kwamba hii pesa inaenda kutumika kama kipimo kwa wachezaji ambao tutakuwa tunawahitaji