@RevocatusMagum1 Huyu ana vitu vingi ambavyo havina maana. Runs zake ni poor, anafanya dribbles nying ambazo zinapoteza sekunde na dakik za kujenga shambulizi. Anachelewa sana kwenye nafasi. Atupishe tu
@humbleQueen02 Mhh nope. Mm kwangu jina "Mary" ndio hujirudia Sana. Nmepita na 3 Mary huyu wa sasa ni wa 4 Yan. Sometimes hata nkikutana nao wa kusex t bila relation wanakua hawakazi kabsa
@TouchmineX EA sports has predicted for former four FIFA World cup Winners and had a 100% accuracy. And this year they predicted Spain as the finale Winners. Let's wait btn EA sports and spiritualist Kwaku who is the real GOAT
@MsigwaGerson Kabla ya marekebisho mlikua mnafanya Kwa maslahi ya Nani? Hizi taarifa yako ya Leo ni wazi umejikuna ambapo ulizani hapawashi kumbe ndo kuna mapele ya kutosha. Hata bana
@godbless_lema Kaka umesahau ile kauli "Anaekaribia kutapeliwa hata umwambie vipi hawezi kuelewa?" Huyu bibi ndo kafikia huko, alafu kingine anaonekana tu hata yy ni mlafi wa Mali na madaraka. Wamekutana pipa na mfuniko. Birds of same feather, flock together
@MsigwaGerson Unafanya mambo utazani nchi ipo kipindi cha Nyerere. Bro mitandao ipo. Unazani hiki ni kizazi utatuambia nyeupe ni nyeusi hata Kam nyeusi ni nyeupe?? Hatuko huko choko ww
@mariam255_ Endeleeni kujipa moyo. Haiwezekan ukaua hundreds of civilians alafu ishu iishe tu kama uliua kunguni. The f*CK?? tunaisubili hiyo njaa na kukosekana kwa Pesa ili tuangaliane usoni. Akina Who are you wanashika panapouma mpaka mseme.
@MickyJnr__ Tanzania we sincerely and frankly do not want this wastage of time and resources. The scrambled resources is only distributed to the riches and the haves. Back off we want a better Tanzania not such stupidity. The #Oct29 massacre has not yet settled nor reconciled
@MsigwaGerson Kuvuja kwa pakacha. Endelea kupiga mdomo tu. Shauri lipo palepale, vijana mliotusii tusome tumesoma na tumemaliza lakn ahadi za asali na maziwa hatuoni. Tukihoji mnatuita wahaini, wachochezi na wahuni. Haya bana
@HecheJohn@MariaSTsehai "Ok kumbe haya nd Yale tuliyasikia. Mbona mnaharibu democrasia hii jamhuri sio falme za kiarabu. Ipi sababu ya kwenda na Abdul day hii nchi Ina Maajabu"
@RevocatusMagum1 Bro Mimi shabiki wa Simba lakini siwezi kukutetea kwenye hii Post. Kuna ushabiki na ukweli. Hata kama taarifa kasema huyo chawa, chakata taarifa- Mwanahabari bora anachagua kilicho Bora, ww hiki ni Nini sasa